Swahili - Overview

Skip listen and sharing tools

Kitu tunachofanya

Kitengo cha Watumiaji cha Victoria ni kitengo cha mkoa cha kudhibiti matumizi. Lengo letu ni kusaidia watu wa Victoria kuwajibika na kutoa habari kwa wafanyabiashara na watumiaji.

Kufanya hivi tuna:

  • pitia na kushauri serikali ya mkoa kuhusu sheria za watumiaji na masharti ya biashara.
  • toa ushauri na kueleimisha watumiaji, wapangaji, wafanya biashara na wapangishaji kuhusu haki zao, wajibu na mabadiliko ya sheria.
  • andikisha na kutoa leseni za biashara na kazi
  • patanisha matatizo kati ya watumiaji na wafanya biashara, na wapangaji na wapangishaji
  • tia mkazo na kuhakikisha uwajibikaji kulingana na sheria za watumiaji.

Tunatoa ushauri wa bure nahabari za kujitegemea za:

  • kujenga na kurudia jengo
  • leseni za biashara na sheria zake
  • majina ya biashara
  • kununua na kuuza majengo
  • mashirika ya ushirika
  • changizo
  • mashirika yasiyo ya biashara
  • mashirika ya watu wachache
  • kulipa madeni vizuri
  • magari
  • kumiliki mashirika
  • usalama wa bidhaa
  • kupanga
  • malezi ya wazee
  • wezi wa bandia
  • kununua na kufanya kazi.

Wasiliana nasi

Huduma za wakalimani

Interpreter service logoPigi 131 450 na sema jina la Kiingereza la lugha yako. Harafu uliza mkalimani kupigia 1300 55 81 81.

9:00 am to 5:00 pm, Monday to Friday (except for public holidays).



Habari zaidi