Taarifa juu ya haki zako chini ya sheria ya ukuraji katika Australia
Wakati gani narudishiwa pesa?
Kama kuna tatizo ya vitu ulinunuwa, duka inaweza kukurudishiya, kukarabati au aina nyingine ya 'dawa'. Aina ya dawa ambayo inapatikana inategemea na tatizo.
Tatizo gani duka inaweza kutengeneza?
Kina tatizo
Unapashwa kurudisha kitu chenye tatizo, kama vitu na huduma lazima kuwa na ubora unaokubalika.
Kitu kina tatizo kama ki:
- hakifanyi kile kwa kawaida kile kimetakiwa kufanya - kwa mfano, kibaniko yangu hayichemushi mkate
- ina kasoro - kibaniko yangu kipimo cha mda kinaanguka mara baada ya mimi kununuliwa
- haikubaliki katika muonekano au kumaliza - kibaniko yangu hayiko sawa
- si salama - cheche kuruka nje ya kibaniko yangu
- si ya muda mrefu - kibaniko yangu kuvunjika chini tu miezi mitatu baada ya mimi kununuliwa.
Huna haki yakurudisha kitu wakati:
- duka limekwambia (au kuonyesha ishara) kuhusu kasoro ya kitu kabla ya kukinunua
- ulichunguza kitu kabla ya kununua na hawakuona kasoro unapaswa kuwa muliona
- ulitumia kitu hicho katika njia isiyo nzuri, au
- umetumia kitu hicho kwa muda mrefu sana.
Nimekuta kinatatizo baada ya mimi kukitumia
Unaweza kurudisha kitu ambao kinatatizo ata kama:
- kimeisha au ulikitumia
- lebo imeondolewa, au
- kuondolewa kutoka ufungaji wa awali.
Nilinunuwa shati na nililivaa mara chache, lakini langi ya nguo lilitoka mara ya kwanza niliyifuwa, hata kwamba nilifuata maelekezo juu ya lebo.
Hakifanani na sampuli au najinsi walivyo kionyesha
Wakati unanunuwa kitu kwa juu sa sampuli au jinsi walivyo kionyesha, nilazima kifanane na sampuli. Kama kitu hicho kiko tofauti hungeweza kukinunuwa, kama unahitaji wakurudishiye pesa.
Nilinunuwa kiti kulingana na sampuli au mfano, lakini wakati kilifika, langi lilikuwa tofautiI na sampuli.
Hakiko sawa na jinsi walivyo kitaja
Kitu lazima kiwa kama walivyo kitaja (kwa mfano kwenye lebo, kwenye TV ya biashara). Kama kiko tofauti na vile walivyo kitaja hunge kinunuwa, una haki yakurudishiwa pesa.
Nilinunuwa mkoba ambao walielezea kama wa ‘ngozi’ kwenye magazeti ya duka. Wakati nilifika nyumbani nilikuta wiko vinyl.
Hakifanyi vyenye muuzaji alisema
Unaweza kurudisha kitu ambao hakifanyi vyene muuzaji alisema kitafanya.
Nilinunuwa saa, ambao muuzaji alisema kwamba naweza nikayitumiya wati niko nafanya mbizi, lakini niliivaa kwenye bahari, lilijaa maji.
Hakifanye vyenye niliwaomba
Unaweza kurudisha kitu ambao hakifanyi kazi maluum au kifikie lengo maluum kama:
- kabala yakununuwa ulimwambiya muuzaji vyenye unataka kifanye, na
- ulifuwata ushauri wa muuzaji wakati wakununuwa kitu hicho.
Nilimwambia muuzaji wa gari kwamba nahitaji gari ambao inaweza kukogota boti. Muuzji wa gari aliniuzia mja, kwakusema itafanya kazi hiyo. Jioni nilisoma mwongoza wa safety na kuona kwamba gari hiyo hayiwezi kukogota boti kwa usalama.
Nilibadili mawazo
Muuzaji hatakubari urudishe kitu kwa juu ya kubadirisha mawazo. Lakini ma duka mengine yana sharia zawo zakurudishiyana pesa, au kulipa pesa kwa kubadirisha mawazo.
Sina risiti
Itabidi uonyeshe kwamba kitu kilinunuliwa kwenye duka hiyo. Kama huna risiti, unaweza kuonyesha, kwa mfano:
- taarifa ya kadi
- makubaliano ya kulipa lipa kidogo
- uthibitisho au kupokea simu kutoka kwa simu au ununuzi wa internet.
Nilipata zawadi
Wapokeyaji wa mazawadi wana haki sawasawa nawule ambao aliyinunuwa, lakini unaweza kuyirudisha kama unathibitisha kwamba ulikinunuwa. Angalia chini.
Nilikinunuwa kwenye hali walikiweka kwenye bei ndogo
Una haki yakurudisha ata kwamba ulinunuwa kitu kwenye bei nafu kama vitu viko kwenye bei kamiri. Ndo mana ni kinyume na sharia kuweka saini ya kusema ‘usirudishe kitu hicho’.
Hata hivo, uwezi kurudisha kitu cha tatizo ambao muuuzaji alikwambia, au chenye uliona wakati ulikuwa anachunguza, kwa mfano lebo ambao inaambatana na shati inasema bei ‘imepunguzwa juu ya tatizo ya kushona’.
Mfano wa vitu ambao viko kwenye ‘sale’:
- bei ilipunguzwa
- ‘kwenye sampuli na kwenye msitali’ wa pili
- kununuwa kutoka kiwanda.
Nilinunuwa kitu ambao walisha tumia
Kutoka dukani: Una haki vile vile ukinunuwa vitu walisha tumia kama unanunuwa kitu kipya lakina nikuangalia mwaka ya kitu, bei na hali ya kitu hicho wakati wakikiuza.
Kutoka muuzaji binafsi: Muuzaji hana wajibu wa kukurudishia, kukupatia kitu kingine au kukitengeza (kwa mfano kwenye sehemu ya kuuza au matangazo yakuuza).
Nilinunuwa kwenye interneti
Kama nilinunuwa kutoka kwenye Australian business online, una haki vile vile kama ungenunuwa kwenye duka isipokuwa ulinunuwa kwenye muuzaji binafsi, Angalia juu.
Nina haki yakupata dawa. Naweza kurudishiwa pesa, kutengeneza au kitu kingine?
Itatokana na tatizo iko:
Kubwa – haitatengenezwa, au itakamata mda mrefu au niviguma kutengeneza
Unaweza kuchaguwa ku:
- kurudisha kitu na kuchagua kurudishiwa pesa au kitu kingine, au
- baki na kitu hicho na upati pesa kidogo kwa juu yakupunguza bei yakitu hicho.
Ndogo – kinaweza kutengenezwa kwa mda wa kawaida
Ni lazima kumupa mwenye duga mda wa kutengeneza tatizo hiyo. Watachagua kama watakurudishia pesa, watatengeneza au wakupatie kitu kingine. Kama duka inachagua kutengeza kitu hicho, ni wajibu wao kukirudisha na wahusiki nawale walikitengeneza.
Kama duka imechukuwa mda mrefu au wanakataa kutengene tatizo, unaweza:
- kurudisha kitu na kuomba kurudishiwa pesa au kitu kingine au
- tafuta mtu mwingine atengeneze kitu hicho na kuomba duka wakuliipe pesa munakubaliana.
Habari zaidi
Kwa habari Zaidi, angalia Sehemu ya ununuzi.